CAKE RECIPES

COCONUT CAKE

MAHITAJI

-Siagi ya prestige 220g

-Sukari 200g

-Mayai 4

-Coconut fleva 1 teaspoon

-Unga  250g

-Baking Powder 1 tablespoon

-Tui la nazi pakti 1 

-Machicha makavu 2-3tbsp

-Vinegar 1 tablespoon

METHOD / NAMNA YA KUANDAA

1.Saga sukari na siagi kwa speed kubwa hadi iwe white na ivimbe kwa muda wa dakika  7-10

2.Weka yai moja baada ya lingine kwa dakika moja moja kila yai huku ukisaga kwa speed ndogo kabisa.

3.Weka fleva ya coconut 1 teaspoon alafu usage.

4. Zima mashine na uweke unga na baking powder alafu koroga na spatula au mixer kwa dakika moja.

5.Weka tui la nazi na machicha ya nazi alafu  koroga 

6.Weka vinegar 1 tbsp,alafu weka  mchanganyiko wako kwenye tin ya inch 8

7.Oka cake yako kwa moto wa 150°-180° kwa muda wa dakika 50 mpka 55.

Enjoy cake yako ya nazi!!!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *